Yanga vs Mtibwa Sugar
Harakati za ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom inaendelea tena leo kwenye Uwanja wa Uhru wakati Yanga itakapopambana na Mtibwa Sugar.
Yanga ambayo awali iliomba mchezo huo uahirishwe, sasa itautumia mchezo huo kama mazoezi kabla ya kupambana na FC Lupopo ya DRC mwishoni mwa wiki hii.
Yanga hadi sasa imejikusanyia jumla ya pointi 30 ikiwa ni pointi 10 nyuma ya wanaongoza ligi hiyo.
Yanga ambayo awali iliomba mchezo huo uahirishwe, sasa itautumia mchezo huo kama mazoezi kabla ya kupambana na FC Lupopo ya DRC mwishoni mwa wiki hii.
Yanga hadi sasa imejikusanyia jumla ya pointi 30 ikiwa ni pointi 10 nyuma ya wanaongoza ligi hiyo.
17 comments:
dakika 30
Yanga 1 Mtibwa 1
sio mbaya magoli yapo jangwani kaza but!!!!!!!!!
half time
Yanga 1 Mtibwa 1
line up:
1. Obren/Kimathi
2. Mbuna
3. Njoroge
4. Wisdom
5. Nadir
6. Bonny
7. Bengo
8. Babbi
9. Tegete
10. Ambani
11. Shamte
dk 81
Yanga imepata bao la pili kupitia kwa Steven Bengo
Asante sana, tunangojea final results, Yanga mbele.
Vipi matokeo?
dakika ya 89
Yanga 3 Mtibwa 1 mfungaji Godfrey Bonny
full time
Yanga 3 Mtibwa 1
Ambani dk.15, Bengo dk 81 na Bonny dk 89
kwa ushindi wa leo Yanga imefikisha pointi 36. Simba ambayo inaongoza ina pointi 43 itacheza kesho na Manyema FC.
Poa mwana aminia -SGM
haya jamani tuombe mungu simba achemshe
dah yanga mbele kwa mbele..kesho mnyama anadroo
Katika mechi kati ya Simba na Manyema inayoendelea hivi sasa, Simba inaongoza 2-0. Dakika 73
Mnyama achemshe....unaota kaka]
Full time:
Simba 2 Manyema 0
Simba inatakiwa kushinda mechi 3 ili kutwaa ubingwa.
kaka samahani mbona unachelewa kutuletea mpya za yanga naomba uwe fasta kaka Yanga mbele nyuma mwiko
Post a Comment