Monday, May 10, 2010

Salamu ya leo
Kuna watu fulani leo nimekuwa nikiwasalimia kwa kuwapungia mkono nashangaa wananuna sijui kosa langu ni lipi?

Sijui na humu kwenye blog hii wale wenzetu ambao huwa wanapitapita hapa watanuna pia au watachukulia poa tu?

5-1....hadoooooooooooood

17 comments:

Anonymous said...

Marehemu TX Moshi William (Mwenyezi Mungu Amrehemu huko aliko)alikuwa na kibwagizo chake kizuuuri sana ambacho ni
" PELEKA PELEKA SASAA KIIIIMYAAAA"
Ndio kinachotokea sasa MJI BARIIIDIII hakuna kelele wala matusi.

Anonymous said...

WALE WANAO WAJULIA WAARABU IMEKUWAJE JAMANI.HATA WALE WANAO PITA HUMU NA VIKASHIFA VYAO SASA KIMYAAAA. TUNAWASUBIRI NA LUGHA ZENU CHAFU.
5-1HABARI NDIO HII

Anonymous said...

Hao Waarabu wenyewe nafasi yao kwenye ligi ni ya 7,hawa jamaa ni 1,ingekuwa vipi wangekutana na wale jamaa walioko 1 au 2.

Anonymous said...

Na yule golikipa maarufu hakuwepo wakati wakikabidhiwa mkono kamili.Huyu ndiye tuna lilia aje kuiokoa Taifa stars kweli.

Anonymous said...

SASA KIMYAAAAAAAAAAA

Anonymous said...

ndiyo vilivyo walikua wanahesabu pasi za al ahli wakati anacheza na yanga sasa wahesabu hizo goooooooliiiiiiii.wasaalaam.

Anonymous said...

si kuhesabu magoli tu mie nimeona mpira live nawasikia simba kwenye magazeti/ internet tu nimeshangaa vipi waliifunga haddod dar huko misri hata pasi walikuwa wanawapa maadui na goli la nne hata angekuwa kipofu angaliona jambo lilonishangaza hata mipira ya kutupa walikuwa wantupia hadood ay nje lakini siwalaumu maana uwanja wa hadood ni njano nakijani labda uliwalewesha

Anonymous said...

hawana haya hawa mara ngapi tunawambia waende kwenye blog yao lakini msione kimya wamepewa kazi ya kusafisha vyoo klabuni na rage

Anonymous said...

tano tano tano,tano,5,5,5,5,5,5,5,sasa wamemleta maharage asamahani rage haya tuone 5<five,five ,five

Anonymous said...

tano tano tano tano tano tano

Anonymous said...

jamani mupo manaake sioni kama mmeandika kitu fulani lakini karibu uchungulie tunawakaribisha kwa mikono mitano mitano.

Anonymous said...

AAAHHHHH Kumbe dawa yao ni kuwaleta waarabu mara tano wanahama wenyewe. Tumekuwa tukiwafukuza haikuwezekana sasa haooo wametimua wenyewe. Huko kwao miaka 15 giza, ala hawa watu vipi.Kumbe ofisi pia wanaisikia kwenye vyombo vya habari. Mungu wangu.Eti hata wachezaji hawajui yalipo makao makuu ya klabu. Maharage amewaumbua kwelikweli.

Anonymous said...

oh ho wako wapi?jamaani lakini huu si uungwana ,kabla ya hii five walikua wanaspend tu money kwenda kwenye internet kutuangalia lakini sasa biashara ya internet imekufa angalau mpaka kagame.eti waliakua wanahesabu pasi za ahli bila kusita 1,2,3,4,5,----14.sasa kuhesabu hizo tano kigugumizi kibao.mtakoma.

Anonymous said...

ushindi wao mara nyingi ni mipango ya nje ya uwanja. sasa wamekwenda kwa waarab wameshindwa kufanya dhuluma matokeo yake wakala kibano cha mkono mzima. na hawana la kusema kwa kuwa mpira ulionyeshwa kama ulivyo.
watu ha ha a ah ha ah! haya sasa wakajenge choo chao pale klabuni kwao!

Anonymous said...

walizidi kujiskia wakati matokeo huwa wanayapanga kwa kununua mechi.Hivi sisi(Yanga) mwaka huu mbona tunataka tena kupoteza ubingwa mapema kabla ligi haijaanza.USAJILI unataka kuanza kuwa wa wasiwasi Manji anagoma goma.ni nafuu tupige harambee ya uSAJILI

John Mwaipopo said...

hii tabia ya kutoonekana hapa bloguni sio jambo la kiungwana kwa kweli. mpira uchezwe misri sisi huku tanzania hatujuliani hali...... karibuni jamani tunawakaribisha kwa mikono mitano-mitano

Unknown said...

We John wewe, ulinamatingo fijo, yaani wensio uwakaribishe kwa mikono mitano mitano hifi hifi! mma! ugujova gya utunguru!