Blogu binafsi kwa ajili ya wapenzi na wanachama wa Yanga popote pale ulimwenguni kubadilishana mawazo na kupashana habari
CM tupe matokeo.sisi wengine tupo mbali.
CM tupatie matokeo tujue nini kinaendelea uko Jamhuri.
Yanga wanaongoza kwa bao 1 lililofungwa na Tegete
labda hakuna umeme si unajua tena
dakika 90 zimemalizika kwa ushindi wa 2-0. Mabao yaliyofungwa na Jerry Tegete (32) na Ernest Boakye (90)
cm vipi toto huko nyamagana matokeo vipi?
Simba 2 Toto 0
cm vipi matokeo huko?
RUVU 2 YANGA 0
umevuta bangi au ?
Hupendi matokeo mbona ndio ukweli??
kwani ajabu?
naamini kabisa tumekufaaaaaaaaa.
Yanga kisha fungwa moja, bado dakika kama 18 hivi.
Yanga imejiongezea pointi nyingine tatu baada ya kuichapa Ruvu Shooting Stars kwa 2-0.Mabao yalifungwa na Jerry Tegete na Iddi Mmbaga.
Post a Comment
16 comments:
CM tupe matokeo.sisi wengine tupo mbali.
CM tupatie matokeo tujue nini kinaendelea uko Jamhuri.
Yanga wanaongoza kwa bao 1 lililofungwa na Tegete
labda hakuna umeme si unajua tena
dakika 90 zimemalizika kwa ushindi wa 2-0. Mabao yaliyofungwa na Jerry Tegete (32) na Ernest Boakye (90)
cm vipi toto huko nyamagana matokeo vipi?
Simba 2 Toto 0
cm vipi matokeo huko?
RUVU 2 YANGA 0
umevuta bangi au ?
Hupendi matokeo mbona ndio ukweli??
Hupendi matokeo mbona ndio ukweli??
kwani ajabu?
naamini kabisa tumekufaaaaaaaaa.
Yanga kisha fungwa moja, bado dakika kama 18 hivi.
Yanga imejiongezea pointi nyingine tatu baada ya kuichapa Ruvu Shooting Stars kwa 2-0.
Mabao yalifungwa na Jerry Tegete na Iddi Mmbaga.
Post a Comment