Saturday, October 16, 2010

Ligi Kuu ya Vodacom

Mechi ya leo
Simba vs Yanga

15 comments:

CM said...

mpira umeanza dk 18 zilizopita bado ni 0-0.

List ya Yanga
1. Berko
2. Nsajigwa
3. Mwasika
4. Nadir
5. E. Boakye
6. I. Boakye
7. Nurdin
8. Chuji
9. Tegete
10. Abdi
11. Nsa Job

Anonymous said...

bado matokeo ni bila?

CM said...

halftime mambo bado ni 0-0.

Anonymous said...

asante kaka.

vipi mambo nusu ya kwanza...tumecheza vizuri au

CM said...

first half Simba walianza kwa nguvu ambapo katika dakika mbili za mwanzo walikuwa wamefanya mashmbulizi ya hatari mawili lakini uhodari wa kipa ulisaidia.

Kwenye dimba la kati leo Jerry Santo na Echesa wa Simba wanachuana vikali na viungo wetu Chuji na Boakye.

Move nyingi za washambuliaji wetu zinaishia kwenye offside au krosi zinaokolewa na Kaseja.

Anonymous said...

Tegeta anaweka ngozi ndani, hivyo Simba 0 Yanga 1

Anonymous said...

kaka cm tuko mbali manza kimeeleweka?

mdau Italy

Anonymous said...

yanga imepata bao kupitia kwa Jerry Tegete

CM said...

1-0 jerry Tegete

Anonymous said...

CM, tupe basi pasi imetoka kwa nani au ndoa umedunda akabahatisha ha ha ha

CM said...

dakika ya 82 bado tunaongoza 1-0

Anonymous said...

safiiiii.....leo lazima tule mishikaki ya mnyama simba!

CM said...

full time

Simba 0 Yanga 1

CM said...

full time

Simba 0 Yanga 1

Anonymous said...

walie tu yanga imara daima