Wednesday, June 22, 2011

KAGAME CUP 2011

Yanga katika kundi B

MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga wamepangwa katika kundi B la michuano ya Kombe la Kagame itakayoanza kupigwa kuanzia mwishoni mwa wiki hii katika miji ya Dar es Salaam na Morogoro.

Makundi kamili ya michuano hiyo ni kama ifuatavyo:

Kundi A:
Simba(Tanzania)
Vital'O(Burundi)
Etincelles (Rwanda)
Ocean View (Zanzibar)

Kundi B
Yanga (Tanzania)
El Merreikh (Sudan)
Bunamwaya(Uganda)
Elman FC (Somalia)

Kundi C
APR(Rwanda)
Ulinzi (Kenya)
St. George (Ethiopia)
Port (Djibouti)

Mechi za Kundi A na B zitachezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam wakati kundi C itapiga mechi zake huko Morogoro kwenye Uwanja wa Jamhuri.

Ratiba kamili itafuata hivi punde.

6 comments:

Anonymous said...

kutenda kosa sio kosa ,kosa ni kurudia kosa,fanya kweli yanga ulioacha 2008 timiza mwaka huu

Anonymous said...

Goli ni Yanga 2, Ek Merreikh 1

Anonymous said...

we acha unafiki.

Anonymous said...

Goli ni 2 - 2 mpaka sasa

Anonymous said...

El Merreikh 1 Yanga 0

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___